Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi kwa Kiswahili, audio hii hapa chini ni ya nane na ya mwisho...
Mahakama moja ya mji wa Münster wa magharibi mwa Ujerumani jana Jumatano ilitoa hukumu iliyoruhusu kusomwa adhana katika msikiti mmoja wa mjini humo kwa ajili...