Hasira za Waislamu katika kona mbalimbali za dunia zimeongezeka kwa ajili ya kumnusuru Nabii wa rehema, Mtume Muhammad SAW baada ya kuvunjiwa heshima huko Ufaransa....
Hapa chini tumeweka sauti za maqarii wanne wakubwa wa Qur'ani Tukufu (Mwenyezi Mungu awarehemu) wakisoma aya za mwanzoni mwa Surat al Balad. Maqarii hao ni...