Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tuna furaha kuona leo pia tumweza kuweka hapa kipande kizuri na cha kuvutia cha Qasida ambayo kwa hakika mtu unatamani kuisikiliza...
Msikiti Mkuu wa al Mardzhani Kazan wa Waislamu wa Jamhuri ya Tatarstan nchini Russia umekuwa mwenyeji wa kikao cha viongozi wa Kiislamu kutoka kona zote...