Ibada za Kiislamu zinavyofanyika katika viunga vya mji wa Cape Town huko Afrika Kusini zimepunguza vitendo vya uhalifu mjini humo. Mtandao wa About Islam umeripoti...
Dk Nabil Luqa Bibawi, msomi wa kwanza Mkristo wa Qibti wa Misri kuchukua shahada ya Uzamivu katika Sheria ya Kiislamu, amefariki dunia. Mtandao wa “Akhbarak”...
Mwandishi wa Qur’ani Tukufu mwenye umri mdogo zaidi nchini Misri amepewa kibali cha kuandika Kitabu hicho kitakatifu na Chama cha Waandishi wa Khat (Kaligrafia -...
Makumbusho ya Kiislamu nchini Australia, ni kivutio cha kipekee kutokana na mvuto wa jengo lake kabla ya jambo lolote lile. Jengo hilo liko katika eneo...
Bila ya shaka swali hili limekupitikia mara kadhaa kwamba, kazi ya kuchapisha Misahafu ilianza wapi na mwaka gani? Nyaraka za ulimwengu wa Kiislamu zinatoa uthibitisho...
Wanawake Waislamu nchini Nigeria wamewataka viongozi wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika watoe adhabu kali kwa kila anayewanyanyapaa na kuwadhalilisha wanawake wanaovaa nguo za...
Milango ya Misikiti 4000 imefunguliwa baada ya kufungwa kwa zaidi ya miezi 9 kutokana na janga la corona. Televisheni ya France 24 imetangaza habari hiyo...