Je unajua Msahafu wa kwanza kabisa kamili na sahihi ulichapishwa wapi na mwaka gani? + Picha
Bila ya shaka swali hili limekupitikia mara kadhaa kwamba, kazi ya kuchapisha Misahafu ilianza wapi na mwaka gani? Nyaraka za ulimwengu wa Kiislamu zinatoa uthibitisho...