Baadhi ya nukta muhimu za Surat al Kahf
Tumo kwenye siku nyingine ya Ijumaa. Nina hamu kila wiki niseme japo machache kuhusu Sura ya 18 ya al Kahf kutokana na umuhimu wake mkubwa, lakini mazonge ya maisha si…
Tumo kwenye siku nyingine ya Ijumaa. Nina hamu kila wiki niseme japo machache kuhusu Sura ya 18 ya al Kahf kutokana na umuhimu wake mkubwa, lakini mazonge ya maisha si…
Sisi tunakusimulia khabari zao kwa haki. Hakika wao walikuwa ni vijana walio muamini Mola wao Mlezi. Na Sisi tukawazidisha uwongofu. QUR’ANI TUKUFU Aya ya Leo… Al-Kahfi 18:13 (نَّحۡنُ نَقُصُّ عَلَیۡكَ…
Bali unadhani ya kwamba wale Watu wa Pangoni na Maandishi walikuwa ni ajabu miongoni mwa ishara zetu? ? QURAN TUKUFU ? Aya ya Leo… ? Al-Kahfi 18:09 ? (أَمۡ حَسِبۡتَ…
Siku kadhaa sasa nilitaka nipate nafasi ya kuorodhesha miujiza yote ya Nabii Musa AS iliyotajwa ndani ya Qur’ani na niorodheshe pia ile miujiza tisa iliyosisitizwa kwenye hii sura ya al…
Mchele mweusi ni mojawapo ya aina maalumu na za hali ya juu za mchele. Kama chakula muhimu, mchele huu una nafasi maalumu katika kitanga cha chakula cha kila kaya kote…
Makumbusho ya Sanaa ya Kiislamu ya Cairo yameadhimisha mwaka wa 119 tangu kufunguliwa kwake. Jumba hilo la makumbusho lina moja ya mkusanyiko mkubwa wa kustaajabisha na wa kuvutia mno wa…
Ingawa Timu ya Taifa ya Kandanda ya Tunisia imeshindwa kuingia kwenye hatua ya mtoano ya Mashindano ya Kombe la Dunia 2022 yanayoendelea nchini Qatar hivi sasa, lakini imetoka kibabe kwa…
Gazeti moja la kila siku la nchini Uingereza limegusia jinsi Qatar ilivyoshikamana na mafundisho ya Uislamu wakati huu ikiwa mwenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia la kabumbu na kuandika:…
Bunge la Ufilipino limepasisha tarehe Mosi Febrauri kuwa Siku ya Taifa ya Hijab kama ambavyo bunge hilo limetambua rasmi pia uwepo wa Baraza la Taifa la Waislamu wa Ufilipino likiwa…
Licha ya kuwa Waislamu nchini Thailand ni jamii ya wachache ikilinganishwa na Mabudha, lakini Waislamu hao wameonesha uwezo mkubwa wa kupata watengenezaji wa vyakula vya halali na vinywaji. Kwa mujibu…