Author: admin

Faida za Saumu

Kwa hakika, hakuna chochote kilichoamrishwa na Allah ila kina manufaa na hakuna chochote kilichokatazwa ila kina madhara. Audio hii hapa chini inaonesha sehemu ndogo ya faida nyingi sana za saumu:

HEKO KUMI LA REHEMA

Bismillahi ‘Aliyyun, Ya Ilahi Ya RahimuBismillahi Qawiyyun, nguvu ni Zako QayyumuBismillahi Ghafurun, toba ni Kwako HakimuHeko kumi la rehema, Allah katujaalia. Bismillahi Basirun, unatuona wajaoBismillahi Samiun, tusikize viumbeoBismillahi Munirun, nawirisha…

NI KUMI LA GHUFURANI

Allah jina takatifu, naanza ya RahmaniKwa jina Lako Latwifu, baraka za RamadhaniSamehe hai na wafu, sote tuwe neemaniRabi turuzuku toba, ni kumi la ghufurani. *** Turudi Kwake Raufu, Yaayyuha wauminiTusijifanye…

Maajabu ya sadaka

Athari za Sadaka huwa kubwa pale inapotoka ndani kabisa ya moyo kabla ya kuingia mkononi mwa mtoaji. Naam, maajabu ya sadaka ni makubwa sana. Kisa kifuatacho kinaonesha sehemu ndogo ya…

error: Content is protected !!