Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeilalamikia serikali ya Emmanuel Macron ya Ufaransa kwa msimamo wake wa kuihesabu dini ya Kiislamu kuwa...
Taarifa kutoka nchini Japan zinasema kuwa, idadi ya raia wa nchi hiyo wanaosilimu na kuingia katika dini tukufu ya Kiislamu inaongezeka sana siku hadi siku....
Mwanamke wa anayevaa vazi la staha la Waislamu, Hijab, ameteuliwa kwa mara ya kwanza kabisa kuendesha kipindi mubashara katika televisheni katika historia yote ya Canada....
Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa, itaukarabati Msikiti wa Najjashi wa kaskazini mwa nchi hiyo ambao ni moja ya Misikiti ya kale zaidi katika Ulimwengu wa...
Na Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali anayoiongoza itahakikisha inashirikiana vyema na Jumuiya...
Baada ya kundi moja la Mayahudi kuuvunjia heshima Msikiti wa Nabii Musa AS huko Palestina, makumi ya Wapalestina wamemiminika kwenye Msikiti huo na kusali Sala...
Skuli pekee iliyokuwa inaruhusu nembo za kidini mjini Paris Ufaransa imefungwa na serikali ya Emmanuel Macron ambaye ameshindwa kuficha chuki zake dhidi ya mafundisho ya...
Mamlaka za Oman zimetangaza kuwa, kuanzia kesho Jumanne, Disemba 22, 2020, nchi hiyo itafunga mipaka yake yote ya ardhini, angani na baharini kwa muda wa...
Mufti Mkuu wa Misri amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa dhidi ya watu waliokuwa wanasoma Qur’ani nchini Afghanistan na kuua na kujeruhi Waislamu wengi. Mtandao wa...