Mashindano ya 35 ya Qur’ani Tukufu yalimalizika Jumamosi, Machi 27, 2021 kwa kupewa zawadi washindi wa mashindano hayo. Kwa mujibu wa “Tribune Online” mashindano hayo...
Picha inayomuonesha Mohamed Salah Hamed Mahrous Ghaly maarufu kwa jina la Mohamed Salah, mshambuliaji nguli wa timu ya Liverpool ya Premier League inayotetea hivi sasa...
Baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa Bunge la Uholanzi, imebainika kuwa mmoja wa walioshinda katika uchaguzi huo ni mwanaharakati Muislamu anayevaa Hijab. Kwa mujibu...
Polisi katika mji mkuu wa Ufaransa Paris wamekwamisha masomo maalumu ya watoto yaliyokuwa yanaendeshwa katika Msikiti wa Omar bnil Khattab na kupelekea kufungwa kikamilifu masomo...
Mpango wa kujengwa Msikiti mkubwa zaidi huko kaskazini magharibi mwa Uingereza, umepasishwa na Baraza la Mji wa Blackburn. Mtandao wa habari wa Arab News umeripoti habari...
Wakuu wa Misikiti kadhaa nchini Ufaransa wamelalamikia vikali uamuzi wa hivi karibuni wa wizara ya kilimo ya nchi hiyo wa kupiga marufuku uchinjaji wa kuku...
Maziko ya Sheikh Yaaqub Bagayogo, aliyekuwa amehifadhi Qur’ani nzima na ambaye alikuwa ni maarufu kwa jina la kompyuta ya Qur’ani yamehudhuriwa na idadi kubwa ya...
Mahakama ya mji wa Malerkotla huko Punjab nchini India, imewahukumu kifungo jela maadui wawili wa Uislamu walioivunjia heshima Qur’ani Tukufu. Mtando wa habari wa Tribune...
Serikali ya Morocco, nchi ambayo ndiye mzalishaji mkubwa wa bangi duniani, jana ilipasisha muswada wa kuhalalisha ukulima wa bangi nchi hiyo kwa madumizi ya tiba....