Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tuna furaha kuona leo pia tumweza kuweka hapa kipande kizuri na cha kuvutia cha Qasida ambayo kwa hakika mtu unatamani kuisikiliza...
Adhana ya zamani kabisa kuwahi kurekodiwa katika Msikiti Mtakatifu wa Makkah (Masjid al Haram) ni hii yenye umri wa takriban karne moja na nusu, miaka...
Hapa chini tumeweka sauti za maqarii wanne wakubwa wa Qur'ani Tukufu (Mwenyezi Mungu awarehemu) wakisoma aya za mwanzoni mwa Surat al Balad. Maqarii hao ni...
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi kwa Kiswahili, audio hii hapa chini ni ya nane na ya mwisho...
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi kwa Kiswahili, audio hii hapa chini ni ya saba ya mfululizo wa...
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya sita ya mfululizo wa masomo haya....
Qur'ani Tukufu inapotaja kitu, kwa hakika kinakuwa na maana kubwa. Hakitajwi chochote ndani ya Qur'ani bila ya kuwa na hekima yake kubwa. Miongoni mwake ni...
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya tano ya mfululizo wa masomo haya....
Qur'ani ni kitabu kitakatifu cha Mwenyezi Mungu ambacho kila herufi iliyomo ndani yake haimo juzafa, bure bilashi, bali ina maana yake kamili. Kila mfano uliomo...