Qur’ani Tukufu inapotaja kitu, kwa hakika kinakuwa na maana kubwa. Hakitajwi chochote ndani ya Qur’ani bila ya kuwa na hekima yake kubwa. Miongoni mwake ni mfano uliobainishwa kwa sura ya kipekee kuhusu mdudu nzi, katika aya ya 73 ya sura ya 22 ya Alhajj.

Audio hii hapa chini ni ya utafiti wa kina kuhusu mdudu nzi na maajabu yake ambayo huenda hujawahi kuyasikia.

(Visited 215 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!