Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh

Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya nne ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam ya ‘Ajam. Ndani yake mna mifano mbalimbali inayomfanya msikiliza aweze kuwa na welewa mzuri kuhusu naghma hiyo. Mna pia sauti za magwiji na majimbi wa usomaji wa tajwidi. Usiache kuisikiliza.

Naghma ya ‘Ajam
(Visited 80 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!