Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh

Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya sita ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam na naghma ya Sika (Sika, Segah…). Ndani yake mna mifano mbalimbali inayomfanya msikilizaji aweze kuwa na welewa mzuri kuhusu naghma hiyo. Mna pia sauti za magwiji na majimbi wa usomaji wa tajwidi. Usiache kuisikiliza

Naghma ya Sika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!