Mpya Kabisa

Masomo ya Tajwidi sehemu ya mwisho: Naghma ya Rast

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh

Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi kwa Kiswahili, audio hii hapa chini ni ya nane na ya mwisho ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam na naghma ya Rast. Ndani yake mna mifano mbalimbali inayomfanya msikiliza aweze kuwa na welewa mzuri kuhusu naghma hiyo. Mna pia sauti za magwiji na majimbi wa usomaji wa tajwidi. Usiache kuisikiliza.

Naghma ya Rast

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!