Na ni nani dhalimu mkubwa kuliko yule anayezuia misikiti ya Mwenyezi Mungu kutajwa ndani yake jina Lake na akajitahidi kuiharibu? Watu hao haitawafalia kuingia humo ila nao wanaogopa. Duniani watapata hizaya na Akhera watapata adhabu kubwa (al Baqarah 2: 114)

Hapa chini tumeweka baadhi ya majengo ya kuvutia ya misikiti mbalimbali kutoka kona zote za dunia tukiwa na matumaini tutazidi kuzilinda nyumba hizo za Allah. Katika aya yake nyingine Qur’ani Tukufu inasema:

Enyi wanaadamu! Chukueni pambo lenu kwenye kila pahala wakati wa ibada, (msikitini) na kuleni, na kunyweni na wala msifanye ubadhirifu. Kwa hakika Yeye hapendi wanaofanya israfu. (al Aaraf 7: 31)

(Visited 212 times, 1 visits today)
2 thoughts on “Misikiti 15 mizuri duniani”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!