Na Mwenyezi Mungu ameumba kila kinyama kutokana na maji. Wengine katika wao huenda kwa matumbo yao, na wengine huenda kwa miguu miwili, na wengine huenda kwa miguu mine. Mwenyezi Mungu huumba ayatakayo. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu. (Surat al Nur 24: 45).

Orodha ndogo ya picha hizi hapa chini zinaonesha nyakazi za kuvutia za wanyama tofauti, kuthibitisha aya hiyo kwamba Mwenyezi Mungu huumba ayatakayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!