Wananchi wa Saudi Arabia, leo Jumapili, tarehe 18 Oktoba 2020 wameanza kusali sala ya jamaa ya Alfajiri katika Msiki Mtakatiafu wa Makkah baada ya miezi saba ya karantini ya COVID-19. Hapa chini tumeweka kipande cha video na baadhi ya picha za Waislamu hao katika Sala ya leo ya Alfajiri.

(Visited 5 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!