Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tuna furaha kuona leo pia tumweza kuweka hapa kipande kizuri na cha kuvutia cha Qasida ambayo kwa hakika mtu unatamani kuisikiliza muda wote. Haichoshi kuisikiliza hasa kwa wanaoelewa maana ya maneno yaliyomo kwenye Qasida hiyo. Hii hapa chini audio ya Qasida hiyo inayoanza na maneno yenye maana isemayo: Ewe mwenye sifa tukufu za kimaadili. Ni tafsiri ya aya 4 ya Surat al Qalam ya Qur’ani Tukukfu inayotaja sifa bora kabisa za Bwana Mtume Muhammad SAW. Aya hiyo inasema: Na hakika wewe (Muhammad) una tabia tukufu. Sikiliza Qasida hiyo hapa chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!