Misikiti Uzbekistan kuanza kusaliwa tena Ijumaa
Serikali ya Uzbekistan imetangaza kuwa kuanzia Ijumaa ya wiki hii ya tarehe 4 Septemba 2020, misikiti ya nchi hiyo itaanza tena kusaliwa Sala za Ijumaa. Mtandao wa habari wa “Aki…
Serikali ya Uzbekistan imetangaza kuwa kuanzia Ijumaa ya wiki hii ya tarehe 4 Septemba 2020, misikiti ya nchi hiyo itaanza tena kusaliwa Sala za Ijumaa. Mtandao wa habari wa “Aki…
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC na Chuo Kikuu cha al Azhar cha nchini Misri kimetoa taarifa tofauti za kulaani kuchomwa moto nakala ya Qur’ani Tukufu katika mji wa Malmö…
Jina la msikiti huo ni Djamaa el Djazaïr (Kwa Kiarabu: جامع الجزائر). Ndio msikiti mkubwa zaidi barani Afrika na uko nchini Algeria. Msikiti huo ndio wenye mnara mrefu zaidi duniani. Mnara…
Baada ya Mahakama ya New Zealand kumuhukumu gaidi mzungu adhabu kali ambayo haijawahi kutolewa nchini humo kutokana na ukatili aliowafanyia Waislamu waliokuwa wanasali katika misikiti miwili mjini Christchurch, leo Ijumaa…
Vyombo mbalimbali vya habari likiwemo shirika la habari la Sputnik na mtandao wa habari wa “alkompis” vimeripoti habari ya kupigwa marufuku maandamano ya maadui wa Uislamu ambao walikusudia kuchoma moto…
Msikiti mmoja wa kihistoria wa mjini Durban Afrika Kusini umeteketea kwa moto jana Jumatatu Agosti 24, 2020 na maafisa wa Zima Moto wameshindwa kufanya chochote. Mtandao wa “Akhbar 24” umeripoti…
Misikiti 12 iliyokuwa imefungwa kutokana na janga la corona imefunguliwa tena leo Jumapili, Agosti 23, 2020 katika mikoa ya Sanglang, Simpang Empat na Guar Sanji nchini Malaysia. Mtandao wa habari…