Hapa chini tumeweka kipande kifupi cha video inayomuonesha mtoto mdogo raia wa Russia akisoma kwa sauti nzuri na kwa makhraj sahihi aya za Qur’ani Tukufu katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Chechnya.

Kijana huyo anaitwa Ahmad Shakh Mamidof na ni mwakilishi wa Jamhuri ya Tatarstan. Mashindano hayo yalifanyika mwaka 2019. Aya anazosoma ni za Surat Saba za 22 na sehemu ya aya ya 23. Anasoma kwa sauti nzuri na ya kuvutia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!