Sheikh Mahmoud Shahat Anwar, mmoja wa maqarii bingwa vijana wa Misri, ameshiriki katika Maulidi ya Mtume Muhammad SAW na kusoma kwa sura nzuri aya za Qur’ani Tukufu zilizowasisimua hadhirina wote.

Maulidi hayo yalisomwa Alkhamisi, Novemba 5, 2020 katika kijiji cha Mit Gaber cha mji wa Belbes mkoani Ash Sharqia, kaskazini mwa Misri.

Amesoma “maa yatayassar” katika aya za Surat al Kahf na Taha na kushukuriwa mno na hadhirina. Hapa chini tumeweka kipande cha video ya qiraa yake hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!