Sheikh Ahmad bin Hamad al Khalili alizaliwa mwaka 1942 na familia ya watu walioshikamana vilivyo na Uislamu, visiwani Zanzibar.

Sheikh al Khalili ambaye lakabu yake ni Abu Suliman, na ambaye hivi sasa ana umri wa miaka 78, amebobea katika fani mbalimbali za Qur’ani Tukufu, lugha ya Kiarabu, fiqhi za madhehebu mbalimbali, Hadith n.k.

Watu wengi wanamtambua zaidi Sheikh al Khalil katika upande wake wa uanachuoni, lakini mwanachuoni huyo mkubwa ni mahiri pia katika masuala ya uchumi na biashara.

Hapa chini tumeweka kipande cha video cha enzi za ujana za Mufti wa Oman, Sheikh Ahmad al Khalili ambayo ni video nadra kuonekana. Ndani ya video hii anaonesha umbuji wake katika lugha ya Kiarabu na Hadith…

(Visited 105 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!