Msikiti wa kihistoria wateketea kwa moto Afrika Kusini
Msikiti mmoja wa kihistoria wa mjini Durban Afrika Kusini umeteketea kwa moto jana Jumatatu Agosti 24, 2020 na maafisa wa Zima Moto wameshindwa kufanya chochote. Mtandao wa “Akhbar 24” umeripoti…