OIC na al Azhar zalaani kuchomwa moto Qur’ani nchini Sweden
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC na Chuo Kikuu cha al Azhar cha nchini Misri kimetoa taarifa tofauti za kulaani kuchomwa moto nakala ya Qur’ani Tukufu katika mji wa Malmö…
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC na Chuo Kikuu cha al Azhar cha nchini Misri kimetoa taarifa tofauti za kulaani kuchomwa moto nakala ya Qur’ani Tukufu katika mji wa Malmö…
Jina la msikiti huo ni Djamaa el Djazaïr (Kwa Kiarabu: جامع الجزائر). Ndio msikiti mkubwa zaidi barani Afrika na uko nchini Algeria. Msikiti huo ndio wenye mnara mrefu zaidi duniani. Mnara…
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya pili ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam na naghma…
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Audio hii hapa chini ni sehemu ya kwanza ya mfululizo wa masomo ya tajwidi ya Qur’ani Tukufu. Unaombwa kutoa maoni na mapendekezo yako…
Baada ya Mahakama ya New Zealand kumuhukumu gaidi mzungu adhabu kali ambayo haijawahi kutolewa nchini humo kutokana na ukatili aliowafanyia Waislamu waliokuwa wanasali katika misikiti miwili mjini Christchurch, leo Ijumaa…
Mwenyezi Mungu kwa mapenzi yake makubwa kwa mwanadamu, amemwekea kiumbe huyo njia nyingi rahisi za kuweza kuishi kwa njia salama na kwa manufaa makubwa hapa duniani. Licha ya kwamba mwanadamu…
Vyombo mbalimbali vya habari likiwemo shirika la habari la Sputnik na mtandao wa habari wa “alkompis” vimeripoti habari ya kupigwa marufuku maandamano ya maadui wa Uislamu ambao walikusudia kuchoma moto…
Jina lake kamili ni Uthman ibn Abduh ibn Husayn ibn Taha al Kurdi maarufu kwa jina la Uthman Taha (عثمان طه). Ni mwandishi mashuhuri zaidi wa Qur’ani Tukufu katika zama…
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh, ndugu zangu wapendwa. Kusema kweli hakuna mafundisho yoyote sahihi ya Uislamu yaliyowekwa juzafa, bure bilashi bila ya kuwa na hekima maalumu. Naam, kila…