Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh.

Audio hii hapa chini ni sehemu ya kwanza ya mfululizo wa masomo ya tajwidi ya Qur’ani Tukufu. Unaombwa kutoa maoni na mapendekezo yako ili kuifanya tovuti hii ifanye kazi zake kwa ufanisi zaidi. Sikiliza audio hii hapa chini, utanufaika.

Utangulizi wa masomo ya tajwidi
(Visited 27 times, 1 visits today)
2 thoughts on “Masomo ya tajwidi Utangulizi”

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!