HAKI YA MWALIMU KWA MWANAFUNZI; HAKI YA MWANAFUNZI KWA MWALIMU(KWA MUJIBU WA SURAT AL KAHF)
{ قَالَ سَتَجِدُنِیۤ إِن شَاۤءَ ٱللَّهُ صَابِرࣰا وَلَاۤ أَعۡصِی لَكَ أَمۡرࣰا } (Musa) Akasema: Inshaallah, Mwenyezi Mungu akipenda, utaniona mvumilivu, wala sitoasi amri yako. Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi…
Baadhi ya nukta muhimu za Surat al Kahf
Tumo kwenye siku nyingine ya Ijumaa. Nina hamu kila wiki niseme japo machache kuhusu Sura ya 18 ya al Kahf kutokana na umuhimu wake mkubwa, lakini mazonge ya maisha si…
Tukio la Aswhabul Kahf
Sisi tunakusimulia khabari zao kwa haki. Hakika wao walikuwa ni vijana walio muamini Mola wao Mlezi. Na Sisi tukawazidisha uwongofu. QUR’ANI TUKUFU Aya ya Leo… Al-Kahfi 18:13 (نَّحۡنُ نَقُصُّ عَلَیۡكَ…
Balagha ya hali ya juu ya Qur’ani ya kusimulia visa
Bali unadhani ya kwamba wale Watu wa Pangoni na Maandishi walikuwa ni ajabu miongoni mwa ishara zetu? ? QURAN TUKUFU ? Aya ya Leo… ? Al-Kahfi 18:09 ? (أَمۡ حَسِبۡتَ…
Sababu nne za kushushwa Qur’ani kwa mafungu
Siku kadhaa sasa nilitaka nipate nafasi ya kuorodhesha miujiza yote ya Nabii Musa AS iliyotajwa ndani ya Qur’ani na niorodheshe pia ile miujiza tisa iliyosisitizwa kwenye hii sura ya al…
Mchele mweusi ni nini na sifa zake za kipekee ni zipi?
Mchele mweusi ni mojawapo ya aina maalumu na za hali ya juu za mchele. Kama chakula muhimu, mchele huu una nafasi maalumu katika kitanga cha chakula cha kila kaya kote…
Makumbusho ya Sanaa ya Kiislamu ya Cairo yatimiza umri wa miaka 119
Makumbusho ya Sanaa ya Kiislamu ya Cairo yameadhimisha mwaka wa 119 tangu kufunguliwa kwake. Jumba hilo la makumbusho lina moja ya mkusanyiko mkubwa wa kustaajabisha na wa kuvutia mno wa…
Baada ya Ufaransa kuchabangwa 1-0, mwanasiasa Mfaransa atoa maneno ya kejeli dhidi ya Tunisia
Ingawa Timu ya Taifa ya Kandanda ya Tunisia imeshindwa kuingia kwenye hatua ya mtoano ya Mashindano ya Kombe la Dunia 2022 yanayoendelea nchini Qatar hivi sasa, lakini imetoka kibabe kwa…
Daily Star: Qatar imechunga mafundisho ya Uislamu katika Fainali za Kombe la Dunia
Gazeti moja la kila siku la nchini Uingereza limegusia jinsi Qatar ilivyoshikamana na mafundisho ya Uislamu wakati huu ikiwa mwenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia la kabumbu na kuandika:…
Ufilipino yapasisha “Siku ya Taifa ya Hijab;” ni Februari Mosi
Bunge la Ufilipino limepasisha tarehe Mosi Febrauri kuwa Siku ya Taifa ya Hijab kama ambavyo bunge hilo limetambua rasmi pia uwepo wa Baraza la Taifa la Waislamu wa Ufilipino likiwa…