Ndugu yangu bila ya shaka unaweza ukawa unajiuliza hiki kitu kinachoitwa nafsi, ni kitu gani? Hii nafsi iko ya daraja ngapi? Kwa nini baadhi ya nafsi zinakuwa nyepesi kutetereka katika matatizo? Lakini nyingine haziyumbi hata kidogo? Hivi ni sawa wale wanaoficha udhaifu wao kwa kukimbilia kulaumu wengine? Je, mwanadamu ataokoka kwa kumtupia lawama shetani ibilisi kutokana na makosa ya nafsi yake? Lakini muhimu kuliko yote, kuna daraja ngapi za nafsi. Audio hii hapa chini inatoa ufafanuzi ingawa kwa muhtasari kuhusu aina saba za nafsi kwa ushahidi wa aya za Qur’ani Tukufu. Usikose kusikiliza hadi mwisho:

Aina saba za nafsi
(Visited 200 times, 1 visits today)
4 thoughts on “Aina saba za nafsi”
    1. Shukran kwa maoni yako. Naam ziko aina saba na mbaya zaidi kuliko aina zote ni hiyo ya daraja la chini kabisa inayoamrisha maovu. Mwenyezi Mungu atuvue na nafsi ngonjwa kama hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!