Miongoni mwa ugonjwa mkubwa tulio nao wanadamu ni maradhi ya kutotosheka wala kuridhika na neema anazotupa Mwenyezi Mungu. Ni kawaida yetu kuangalie kwa husda na choyo wale tunaodhani wana neema kubwa kuliko sisi, bila ya kujali neema nyingi sana alizotupa Mwenyezi Mungu ambazo hakuwapa hao tunaowaonesha choyo. Audio hii inatoa kisa chenye mazingatio kuhusu neema ya kuridhika:

Neema ya kuridhika
(Visited 82 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!