Picha: Hatimaye Msikiti mkubwa zaidi Afrika wafunguliwa
Hatimaye Msikiti mkubwa zaidi barani Afrika na ambao ni wa tatu kwa ukubwa duniani umefunguliwa rasmi leo Jumatano, Oktoba 28, 2020 kwa kusaliwa Sala ya jamaa nchini Algeria. Hayo yametangazwa…

Jina la msikiti huo ni Djamaa el Djazaïr (Kwa Kiarabu: جامع الجزائر). Ndio msikiti mkubwa zaidi barani Afrika na uko nchini Algeria. Msikiti huo ndio wenye mnara mrefu zaidi duniani.…