Picha: Sala ya Ijumaa katika Masjid al Haram, Makka
Waislamu mjini Makka wametekeleza ibada ya Sala ya Ijumaa kwa kuchunga taratibu na miongozo yote ya watu wa afya kwa ajili ya kujiepusha na maambukizo ya COVID-19. Mamlaka ya kusimamia…
Waislamu mjini Makka wametekeleza ibada ya Sala ya Ijumaa kwa kuchunga taratibu na miongozo yote ya watu wa afya kwa ajili ya kujiepusha na maambukizo ya COVID-19. Mamlaka ya kusimamia…
Polisi wa Israel wamewazuia Wapalestina 2,000 kuingia katika Kibla cha Kwanza cha Waislamu, yaani Msikiti wa al Aqsa kwa madai ya kutokuwa na vibali. Mtandao wa Kiarabu wa televisheni ya…
Wananchi wa Saudi Arabia, leo Jumapili, tarehe 18 Oktoba 2020 wameanza kusali sala ya jamaa ya Alfajiri katika Msiki Mtakatiafu wa Makkah baada ya miezi saba ya karantini ya COVID-19.…
Wawakilishi wa serikali ya Thailand ambao wamekwenda kusini mwa nchi hiyo kufanya mazungumzo na Waislamu wamesema kwamba pendekezo lililotolewa na Waislamu wa maeneo hayo ni kutaka siku ya Ijumaa iwe…
Wizara ya Wakfu ya Misri imempa adhabu Imam mmoja wa msikiti nchini humo kwa madai ya kurefusha khutba za Ijumaa na kupindukia muda alioanishiwa. Mtandao wa habari wa “al Misri…