Sheikh Mkuu wa al Azhar akosoa uenezaji wa istilahi pandikizi ya “Dini za Ibrahim”
Sheikh Mkuu wa Chuo Kikuu cha kidini cha al Azhar cha Misri ambaye ni maarufu kwa jina la Sheikh al Azhar, amekosoa vikali uenezaji wa istilahi pandikizi ya “Dini za…