KISA CHA UZAIR NA MDAHALO BAINA YA BWANA MTUME NA MAYAHUDI WA MADINA
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Nianza kwa kusema kwamba, wako wanaosema Uzair alikuwa Mtume na wengine wanasema alikuwa mja mwema kama Luqman. Kawaida Qur’ani haitaji kitu isipokuwa kina…