Video ya Nadra ya Mufti wa Oman, Sheikh Ahmad al Khalili
Sheikh Ahmad bin Hamad al Khalili alizaliwa mwaka 1942 na familia ya watu walioshikamana vilivyo na Uislamu, visiwani Zanzibar. Sheikh al Khalili ambaye lakabu yake ni Abu Suliman, na ambaye…

Adhana ya zamani kabisa kuwahi kurekodiwa katika Msikiti Mtakatifu wa Makkah (Masjid al Haram) ni hii yenye umri wa takriban karne moja na nusu, miaka 140. Adhana hiyo ilirekodiwa na…