Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh

Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya tano ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam na naghma ya Bayat. Ndani yake mna mifano mbalimbali inayomfanya msikiliza aweze kuwa na welewa mzuri kuhusu naghma hiyo. Mna pia sauti za magwiji na majimbi wa usomaji wa tajwidi. Usiache kuisikiliza.

(Visited 92 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!