Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh
Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya tatu ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam na naghma ya Nahawand. Ndani yake mna mifano mbalimbali inayomfanya msikiliza aweze kuwa na welewa mzuri kuhusu naghma hiyo. Mna pia sauti za magwiji na majimbi wa usomaji wa tajwidi. Usiache kuisikiliza.
(Visited 81 times, 1 visits today)