Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum ndugu zangu wapenzi. Kama ambavyo tumekuwa tukisisitiza mara kwa mara, hakuna chochote kilichoamrishwa na Mwenyezi Mungu ila kina faida kubwa sana na hakuna chochote kilichokatazwa ila kina madhara. Katika Uislamu suala la nambari limepewa nafasi kubwa sana. Miongoni mwa nambari hizo ni 10. Audio ifuatayo hapa chini inagusia sehemu ndogo ya siri na maajabu ya nambari 10 katika Qur’ani na katika Uislamu:
(Visited 242 times, 1 visits today)