Wanavijiji 19 wauawa kaskazini mashariki mwa DRC
Watu wasiojulikana wenye silaha Jumatatu wameshambulia vijiji vitatu katika mkoa wa Ituri wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua wanavijiji 19 wakiwemo wanawake na watoto wadogo.…