UN kuipatia Lebanon msaada wa chakula baada ya mripuko wa Beirut
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa umeamua kuipatia Lebanon msaada wa chakula wa tani 50 elfu baada ya silo pekee kubwa ya nchi hiyo kuteketea kikamilifu katika mripuko mkubwa uliotokea kwenye…