Machafuko Ufaransa, Msikiti wachomwa moto
Unyanyasaji na udhalilishaji wa Waislamu unaendelea nchini Ufaransa na tukio la karibuni kabisa ni kuchomwa moto msikiti mmoja kaskazini mwa nchi hiyo. Shirika la habari la Anadolu limemnukuu Fatih Sarikir,…

Maandamano ya kulaani kitendo cha kifidhuli cha viongozi wa Ufaransa cha kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na matukufu ya Waislamu yanaendelea kwa sura tofauti katika kona zote za ulimwengu wa…
Makundi makuu ya haki za binadamu kwa kushirikiaana na taasisi ya mavazi ya Kiislamu ya California nchini Marekani yameamua kuanzisha kampeni ya kuchapisha fulana (T-shirt) zenye maandishi ya hadhithi ya…
Waislamu katika nchi ya magharibi mwa Afrika ya Mauritania wamefanya maandamano makubwa kupinga jinai ya jarida moja la Ufaransa la kumtovukia adabu ruwaza ya Waislamu, Mtume Muhammad SAW. Maandamano ya…
Kiongozi Mkuu wa kidini wa Iran ametuma ujumbe wa maandishi na kulaani kitendo cha jarida la Charlie Hebdo la Ufaransa cha kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW. Katika ujumbe wake huo,…