Maandamano ya kulaani kitendo cha kifidhuli cha viongozi wa Ufaransa cha kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na matukufu ya Waislamu yanaendelea kwa sura tofauti katika kona zote za ulimwengu wa Kiislamu.

Hivi karibuni Waislamu walikusanyika mbele ya ubalozi wa Ufaransa, mjini Tehran, Iran, kulaani vitendo viovu vya kumtovukia adabu Nabii wa rehema, Muhammad al Mustafa, SAW.

Katika maandamano hayo, Waislamu walisoma pia Kasida ya kumsifu mtukufu huyo wa daraja na kutaja sifa zake aali. Hapa chini tumeweka kipande cha video cha sehemu moja ya Kasida hiyo:

(Visited 39 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!