Idadi ya wagonjwa wa COVID-19 yazidi kuwa kubwa barani Afrika
Idadi ya maambukizo ya kirusi cha corona inazidi kuwa kubwa barani Afrika licha ya serikali za nchi mbalimbali barani humo kuanza kufungua sekta zao za kiuchumi baada ya miezi kadhaa…
Idadi ya maambukizo ya kirusi cha corona inazidi kuwa kubwa barani Afrika licha ya serikali za nchi mbalimbali barani humo kuanza kufungua sekta zao za kiuchumi baada ya miezi kadhaa…
Watu wasiojulikana wenye silaha Jumatatu wameshambulia vijiji vitatu katika mkoa wa Ituri wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua wanavijiji 19 wakiwemo wanawake na watoto wadogo.…
Athari za Sadaka huwa kubwa pale inapotoka ndani kabisa ya moyo kabla ya kuingia mkononi mwa mtoaji. Naam, maajabu ya sadaka ni makubwa sana. Kisa kifuatacho kinaonesha sehemu ndogo ya…
Tarehe 5 Agosti 1990 jumuiya ya OIC iliainisha siku maalumu ya haki za binadamu kwa mtazamo wa dini tukufu ya Kiislamu. Siku hiyo inakumbusha tukio la kupasishwa Azimio la Haki…