Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh, ndugu zangu wapendwa. Kusema kweli hakuna mafundisho yoyote sahihi ya Uislamu yaliyowekwa juzafa, bure bilashi bila ya kuwa na hekima maalumu. Naam, kila nukta ya mafundisho hayo matukufu ya Uislamu yamejaa hekima na manufaa makubwa ya kiroho, kimwili, kijamii na kila kitu.

(Visited 141 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!