Qur’ani ni kitabu kitakatifu cha Mwenyezi Mungu ambacho kila herufi iliyomo ndani yake haimo juzafa, bure bilashi, bali ina maana yake kamili. Kila mfano uliomo ndani ya Qur’ani Tukufu pia una maana yake pana na ya kina cha hali ya juu.

Miongoni mwa mifano iliyuomo kwenye aya za Qur’ani Tukufu yenye maana pana mno ambayo hadi leo wanadamu wameshindwa kujua kikamilifu undani wake, ni ule wa mbu jike tunaousoma kwenye aya ya 26 ya Sura ya pili ya al Baqarah ambayo sehemu yake moja inasema: Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi yake…

Sauti na audio hii hapa chini inachambua kwa muhtasari mfano huo uliomo kwenye Qur’ani Tukufu. Usiache kuisikiliza audio hii, ina manufaa hata kwa wasio Waislamu.

(Visited 250 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!