Video hii hapa chini ni ya Qarii wa Kikurdi ambaye Mwenyezi Mungu amempa kipaji ya kuigiza qiraa za maqarii kadhaa bingwa katika ulimwengu wa Kiislamu tena kwa kuunganisha papo kwa papo. Jina lake ni Ahmad al Obied. Naam, video hii hapa chini ni kipande kifupi kama mfano wa kipaji cha kipekee alichojaaliwa kuwa nacho na Mwenyezi Mungu.

(Visited 26 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!