Iran kufanya semina maalumu kuhusu soko la biashara la Oman
Semina ya kwanza ya maalumu ya kujadili soko la Ulimwengu wa Kiislamu imepangwa kufanyika nchini Iran tarehe 23 mwezi huu wa Juni, 2021 na itahusu soko la biashara la Oman.…
Semina ya kwanza ya maalumu ya kujadili soko la Ulimwengu wa Kiislamu imepangwa kufanyika nchini Iran tarehe 23 mwezi huu wa Juni, 2021 na itahusu soko la biashara la Oman.…
Msahafu wa kwanza kabisa kimili na sahihi ulichapishwa nchini Russia mwaka 1803 Milaadia. Msahafu huo ulichapishwa katika mji wa Kazan, makao makuu ya Jamhuri ya Tatarstan huko Russia. Toleo la…
Serikali ya Jakarta imejiwekea malengo ya kuigeuza Indonesia kuwa kituo kikuu cha bidhaa halali duniani ifikapo mwaka 2024. Mtandao wa habari wa Antara News wa nchini Indonesia umeripoti habari hiyo…
Mkutano wa 34 wa Umoja wa Kiislamu mwaka huu umepangwa kufanyika kwa njia ya Intaneti katika eneo la Mashariki na Kusini Mashariki mwa Asia kuanzia siku chache zijazo. Mkutano huo…
Umoja wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu Duniani umeitisha mkutano wa kimataifa kwa ajili ya kujadiliana nafasi ya vyuo vikuu katika kutumikia jamii na kuzisaidia jamii hizo kutatua matatizo ya ulimwengu…