Ndugu yangu bila ya shaka unaweza ukawa unajiuliza hiki kitu kinachoitwa nafsi, ni kitu gani? Hii nafsi iko ya daraja ngapi? Kwa nini baadhi ya nafsi zinakuwa nyepesi kutetereka katika matatizo? Lakini nyingine haziyumbi hata kidogo? Hivi ni sawa wale wanaoficha udhaifu wao kwa kukimbilia kulaumu wengine? Je, mwanadamu ataokoka kwa kumtupia lawama shetani ibilisi kutokana na makosa ya nafsi yake? Lakini muhimu kuliko yote, kuna daraja ngapi za nafsi. Audio hii hapa chini inatoa ufafanuzi ingawa kwa muhtasari kuhusu aina saba za nafsi kwa ushahidi wa aya za Qur’ani Tukufu. Usikose kusikiliza hadi mwisho:
(Visited 243 times, 1 visits today)
Kumbe kuna aina saba za nafsi mimi ilikuwa sijuwi kama kuna aina saba za nafsi
Shukran kwa maoni yako. Naam ziko aina saba na mbaya zaidi kuliko aina zote ni hiyo ya daraja la chini kabisa inayoamrisha maovu. Mwenyezi Mungu atuvue na nafsi ngonjwa kama hiyo.
Shukran Jazakal- Allahul- Kheyr
[…] Lakini pia hapa nimekumbuka ile audio ya aina saba za nafsi niliyowahi kuirekodi na kuiweka humu mtandaoni. Inapatikana katika link hii hapa chini ambayo mtu anaweza kudownload na kuwa nayo kwenye simu au Tab au Laptop au ngamiza yake: https://ahramed14.com/aina-saba-za-nafsi/ […]