Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh

Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi kwa Kiswahili, audio hii hapa chini ni ya saba ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam na naghma ya Hijaz. Ndani yake mna mifano mbalimbali inayomfanya msikiliza aweze kuwa na welewa mzuri kuhusu naghma hiyo. Mna pia sauti za magwiji na majimbi wa usomaji wa tajwidi. Usiache kuisikiliza.

Masomo ya Tajwidi kwa Kiswahili – Naghma ya Hijaz
(Visited 96 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!