Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh.
Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya pili ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam na naghma ya Swaba. Ndani yake mna mifano mbalimbali inayomfanya msikiliza aweze kuwa na welewa mzuri kuhusu naghma hiyo.
Waalaikum Assalam. MashaAllah Shukran sana kwa tajwidi. InshaAllah