Mashindano ya maajabu ya kisayansi ya Qur’ani, Misri
Baraza la Utafiti wa Kiislamu la Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri kinaendesha mashindano ya kimataifa ya maajabu ya kisayansi ya Qur’ani Tukufu. Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari…
Baraza la Utafiti wa Kiislamu la Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri kinaendesha mashindano ya kimataifa ya maajabu ya kisayansi ya Qur’ani Tukufu. Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari…
Siku mbili za Jumanne na Jumatano, Septemba 8 na 9, 2020, yalifanyika mashindano ya watu wazima ya Nusu Fainali ya Qur’ani Tukufu nchini Brunei. Mashindano hayo ya siku mbili yaliyofanyika…
Mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa ajili ya wanafunzi wa nchi za kigeni wanaosoma nchini Misri yalianza Jumatatu ya Septemba 7, 2020. Mashindano hayo yameitishwa na Kituo cha Kiislamu cha al…
Wizara ya Wakfu ya Misri imeitisha mashindano ya kwanza kabisa ya aina yake kwa lengo la kuimarisha uzingatiaji wa malengo, maana na shabaha za Qur’ani Tukufu. Mashindano hayo yatahusisha watu…