Ni kipi cha kujilabu?
Ni shairi kutoka kwa Ali Othman Masoud wa Zanzibar ***** Hivi hii rangi yangu, weupe wa kusifika, zawadi ya Bwana Mungu, wahadahu Lasharika, niwadharau wenzangu, huku siko kupotoka? Si jambo…
Ni shairi kutoka kwa Ali Othman Masoud wa Zanzibar ***** Hivi hii rangi yangu, weupe wa kusifika, zawadi ya Bwana Mungu, wahadahu Lasharika, niwadharau wenzangu, huku siko kupotoka? Si jambo…
Bismillahi ‘Aliyyun, Ya Ilahi Ya RahimuBismillahi Qawiyyun, nguvu ni Zako QayyumuBismillahi Ghafurun, toba ni Kwako HakimuHeko kumi la rehema, Allah katujaalia. Bismillahi Basirun, unatuona wajaoBismillahi Samiun, tusikize viumbeoBismillahi Munirun, nawirisha…
Allah jina takatifu, naanza ya RahmaniKwa jina Lako Latwifu, baraka za RamadhaniSamehe hai na wafu, sote tuwe neemaniRabi turuzuku toba, ni kumi la ghufurani. *** Turudi Kwake Raufu, Yaayyuha wauminiTusijifanye…